Sunday, October 14, 2007

TADI is here for you!

TADI ilizinduliwa rasmi Septemba 23, 2007 kwa makusudi ya kuwaunganisha watanzania wote waishio nchini marekani.

Viongozi wa muda wa TADI ni kama ifutavyo:

Yassin Njayagha - Rais
Deogratias Rutabana – Makamu wa Rais
Augustino Malinda – Katibu Mkuu
Shaban Mseba – Katibu Mkuu msaidizi
Jacquline Abebe – Mweka Hazina
Mayor Mlima – Mweka hazina msaidizi

Wakurugenzi wa Bodi:
Miraji Malewa
Mobhare Matinyi
Mary Mitchell
Namtasha Bunting
Bernard Mgawe
David Mushi
Michael Chiume

No comments: